المدة الزمنية 6:54

MKATE WA SINIA // SWAHILI RICE CAKE

بواسطة Nassra Zawadi
895 مشاهدة
0
24
تم نشره في 2021/04/28

ingredients/mahitaji ✓2 cups of rice soak for 12 hours vikombe mbili za michele na uroweke KWA masaa 12 ✓1 tablespoon of yeast Kijiko kimoja kikubwa cha hamira ✓ 1 cup of sugar kikombe kimoja cha sukari ✓ 4 cups of coconut milk vikombe nne za tui ya nazi ✓ bake for 40 minutes at a temperature of 250 pika kwa dakika 40( arubaini) kwa moto wa 250

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 23