المدة الزمنية 7:46

BODABODA-Jeneza barabarani

بواسطة CELEB AFRICA TV
81 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2020/05/08

Usafiri wa pikipiki maarufu kwa jila la bodaboda chini Tanzania na Afrika mashariki ni mkombozi kwa wengi kutokana na uepesi wakuwahi na kupenya katika foleni ambazo ni kero katika mji ambayo inakua kwa kasi barani Afrika. Je madhara yanayosababishwa na usafiri huyo kwa watumiaji yanaathiri vipi nguvu kazi ya taifa? Kwa undani zaidi ungana na mwandishi wetu Patrick Newman aliyesafiri nchini Tanzania na kutuandalia makala hii . 📺CELEB AFRICA TV 📺 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩🇧🇮🇷🇼🇳🇬🇿🇦🇨🇦🇬🇧🇺🇸 US-based Digital Outlet with Podcast & YouTube contents to update the Swahili speaking & Diaspora around the World https://www.facebook.com/CELEBAFRICATV https://www.instagram.com/celebafricaTV https://www.twitter.com/celebafricaTV https://www.celebafrica.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1