@lastkinglastking3326منذ 3 سنواتDuh huyu baba ni zaidi wembe nilikuwa ni mcheshi tu kumbe kuna bonge la busara kiukweli anafaa kuwa kiongozi
@
@eliyaldalaghi9391منذ 3 سنواتMkuu mbona askari wako wa Mali asili wamekuwa wakifanya ukatili wa hali ya juu sana wanawapiga hata wamama kwa ajili ya Kuni kavu
@
@ulaweboy3479منذ 3 سنواتMheshimiwa magugu bado maaskari wamegeuza boda kuwa maslai tusaidie kituo Cha police magugu wamezidi
@
@sheilalolila2233منذ 2 سنواتPolisi jamani ukitaka kuwajua kuwa na kesi hawana utu kabisa
@
@lulugora2712منذ 3 سنواتAisee muheshimwa ongea point usituchoshe upungufu unahusika nini na watu kupigwa 1
@musasabuu2808منذ 2 سنواتPolisi fanyeni kazi kwa weledi punguzeni zuluma ,tendeni haki Kama mtu amefanya makosa punguzeni mtendeeni haki
@
@samwellazarus3194منذ 3 سنواتKIUKWELI ASKARI WA BABATI WANAKAMATA SANA PASIPO SABABU NA WANAPENDA SANA KITUKIDOGO SANASANA BARABARA YA KIRU YAAANI UNAWEZA KUKUTA WAKO NANE BARABARA MOJA NA KILA MTU YUKO SEHEMU YAKE
@
@ibrahimgwasma235منذ 3 سنواتPolisi n Raia hawawezi kuwa Marafiki jamani haahahahahahah kote Duniani haijawahi tokea . Ikitokea kwa hapa Tz tutavunja rekodi ya Dunia
@
@nativeinfotv9620منذ 3 سنواتKawaida mtu afikishwe. mahali husika pasipo kupigwa wala kutishwa.polisi na Raia wanapaswa kuwa marafiki na sio maadui ili kazi iende vzr
مقاطع الفيديو ذات الصلة على BODABODA MANYARA WATOA YA MOYONI KWA RC MAKONGORO NYERERE:
Ikitokea kwa hapa Tz tutavunja rekodi ya Dunia