المدة الزمنية 1:11

VILIO KARIAKOO: MFANYABISHARA ASHINDWA KUJIZUIA NIACHENI, ONDOKENI

بواسطة Millard Ayo
213 040 مشاهدة
0
855
تم نشره في 2021/07/11

Kutoka hapa Kariakoo, Dar es salaam muda huu, Soko Kuu la Kariakoo linateketea kwa moto, bado chanzo hakijajulikana na tayari Vikosi vya Zimamaoto na Uokoaji pamoja na Vyombo vingine vya usalama vinaendelea na shughuli za kuzima moto huu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 322