المدة الزمنية 7:1

Viazi vya kuoka kwa kuku na jibini + mayai/ grilled potatoes recipe with chicken cheese + eggs

203 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2021/03/16

#Partymeal #Grilled potatoes mixed with chicken, cheese and #eggs recipe is so good, you'll never buy Party meal again or dinners from restaurants because it's takes less preparation time. Viazi vya kuokwa kwa kuku Jibini na mayai ni mazuri na yanachukuwa muda chache kuunda na kupika. Hufaha kwa chakula cha jioni ama sherehe ndogo za nyumbani bila haja kununua chakula nje Unahitaji: Viazi Kifua cha kuku Jibini nyeupe Mayai (kwa mapishi la wale hawali Jibini) nyanya za kusagwa Pilipili Hoho la kusagwa vitunguu maji vitunguu thomu+tangawizi iliyosagwa Mafuta ya uto/kupikia Limau (ukipenda) Viungo vya kuku (unga) Bizari la unga pilipili manga chumvi INGREDIENTS; potatoes chicken breast white cheese Eggs( for those you don't eat cheese) Blended tomato Bellpepper/ capsicum Red onions ginger garlic paste Cooking oil Lemon(optional) chicken spices powder cumin black pepper salt Sandwich recipe /watch/sfgwbBhrW82rw

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6