المدة الزمنية 7:23

VIDOKEZO VYA KUSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA KWA UPASUAJI KUPONA HARAKA

بواسطة dostaja daily tips
16 933 مشاهدة
0
94
تم نشره في 2021/03/09

VIDOKEZO VYA KUSAIDIA MAMA ALIYEJIFUNGUA KWA UPASUAJI KUPONA HARAKA Kupona mapema kwa mama aliyejifungua kwa upasuaji inategemea na mtu binafsi, fuatilia upate kujua utaponaje haraka bila kukaa na maumivu kwa muda mrefu. #kujifunguakwaupasuaji #afyayamama #afyayamamanamtoto Fuatilia namna ambayo unaweza ukajua kuwa mtoto wako mchanga anashiba maziwa ya mama gusa link: /watch/0ViZ4FBXRZTXZ

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 53