Mwanamke mmoja mwenye asili ya Brazil ameishi humu nchini kwa zaidi ya miaka 40 katika eneo la likuyani kaunti ya kakamega. Elvis kosgei alimtembelea mwanamke huyu nyumbani kwake kongoni ambapo anaishi tu kwa amri ya mungu kutokana na mazingira alimokuwa. Mbali na hayo amedai kujaribu kutafuta usaidizi kutoka kwa balozi ya brazil bila mafanikio yoyote.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews
@shannycateringservices..منذ 4 سنواتYou are indeed Godly people.God bless you all
@
@MohammedMohammed-uo5skمنذ 3 سنواتHalloo kenyans lets help this family .haki hii kenya tunaishi maisha tofauti but ningeliomba serekali ya country ya kakamega bwana gavana oparanya pliz id="hidden2" class="buttons"> saidia hawa wananchi wako kwa matibabu badan huyo mama mpendwa anaonyesha ni muungwana na hawezi kuuza tu wake na aliamuwa kuishi na maana mulembe kwa shida na raha so its time to honor her with anykind of assistance so that they cant shape their destiny. ....وسعت3
@
@jessendegwahmusic488منذ 4 سنواتKuishi ugenini ni changamoto sugu.shukuru Mungu uko nyumbani 3
@
@phil5689منذ 6 سنواتThe daughter should apply for a Brazilian passport and travel to Europe with her kids and claim refugee. 4
@
@faizabaishe5172منذ 5 سنواتAlhamdulilah InshAllah mungu akujalie na subra iko siku utafika Brazil 3
@
@peacefulabdhulhakeem3032منذ 8 سنواتFOR ALL THOSE WHO VOLUNTEERED TO HELP HER,MAY THE ALMIGHTY GOD HAVE MERCY ON YOU TOO DEARS! I TRULY LOVE PEOPLE WHO HAVE MERCY UPON THEIR FELLOW HUMANS AND ALL HARMLESS CREATURES OF GOD!!! 9
@
@joerichards1000منذ 6 سنواتWhy should she be taken to Brazilian Embassy? She deserve to have Kenyan citizenship for havens sake, and be assisted by Kenyan government. She has been id="hidden4" class="buttons"> around in Kenya for 40yrs and the inept govt leaves her undocumented, really? ....وسعت45
@
@geddygeddy5308منذ 6 سنواتOne of her child will make her dreams cone to pass.in my prophetic visions and thoughts, I decree and declare abundant blessings full of joyful life and better health 19
@
@bobrudala3784العام الماضيKazi nzuri hakika nI hadithi ya kusisimua,Mungu abariki wale wote walioshiriki kuandaa taarifa hii
@
@chedamoraadaisy316منذ 8 سنواتGod is on your side one day the closed doors will be opened 8
@
@centmichael4814منذ 7 سنواتAllah Akbar, Allah Akbar..Hiyo ni mitihan IPO siku itakwisha 9
@
@k.anaidzaمنذ 4 سنواتHeart wrenching!!! God have mercy on the lady
@
@zannesmarie728منذ 3 سنواتMbona ameji achilia hivi, & she's very beautiful.
@
@emillyzeeh1173منذ 2 سنواتPole sana mama Brazil , ako wapi huyu mama Brazil kwa hivi sasa?❤
@
@guikjhhjujj2278منذ 7 سنواتMungu atakusaidia mama Kwa afya na uzima 1
@
@dashuusaalim1943منذ 4 سنواتReporter anatumia lugha ya kifasihi mashallaaaah waswahil tuko vzury nassi
@
@Mpakausemeمنذ 4 سنواتAisee kayakanyaga vibaya mpaka mashambani Africa hatari, Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
@
@eileenkihula3754منذ 4 سنواتdahh,huruma saana,hata msaada hana jamani loohh
@
@sweetyfaridahsweety8700منذ 7 سنواتNaomba number yake binafsi kakamega ndio nyumbani 5
@
@sharonwanush5408منذ 5 سنواتWah Hadi nimelia Nilikua nadhani me nina mashida mob but hii imezidi 2
@
@maryhessel1376منذ 8 سنواتmay the Lord bless her and heal her with her Husband God have mercy 2
@
@judithsalvatory2892منذ 4 سنواتMungu ni mwema atasikia kilio chenu pole sana
@
@KayoleKnightمنذ 5 سنواتAnakaa willian Borges wa Chelsea.ama Marcelo 1
@
@elsielsee1529منذ 8 سنواتtoo painful may God Almighty hear your cry and Grant your wish 25
@
@leilaomar5540منذ 5 سنوات naomba no ya uyu mama tafadhali jamani
@
@rydaartashastar7472منذ 8 سنواتOh God same story to me, touched, i wish i was near i would help 11
Hadi nimelia
Nilikua nadhani me nina mashida mob but hii imezidi 2