Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine
Kwenye hii video nimetumia gel ya bamia na aloevera kama leave in
conditioner kwenye nywele zangu za kipilipili
Unaweza kuitumia kwenye nywele zenye dawa pia ni sawa
Inasaidia kukuza nywele.
Video ya Kutengeneza bamia 👇🏽👇🏽
/watch/Iq1UcmFsBGZsU
Video ya mafuta ya aloevera 👇🏽👇🏽
/watch/wDigJIXaoX_ag
Maji ya mchele ya kukuza nywele 👇🏽👇🏽
/watch/oaiLvOrPwkXPL
Unaweza kunipata kwa:
Instagram: bariki.k
Email adress for sponsorship or business: bariki. Karoli@gmail.com