المدة الزمنية 2:1

Watoto 117 wanaojiita Ibilisi wakamatwa

بواسطة Mwananchi Digital
8 328 مشاهدة
0
36
تم نشره في 2021/11/06

Jumla ya watoto 117 wanaojiita Ibilisi wa Jijini Tanga wamekamatwa na Jeshi la polisi Mkoani hapa kufuatia oparesheni iliyofanywa na Jeshi hilo oktoba mwaka huu. Akitoa taarifa kwa Waandishi Wahabari Kamanda wa Polisi Mkoani hapa Safia Jongo Alisema ameuwasha Moto wa kupambana na watoto hao wa ibirisi ambao wamekuwa tishio na wahalifu wengine watakao jitokeza katika mkoa huu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11