المدة الزمنية 1:6:28

King Kiba alivyoisimamisha Mombasa na wakazi wake

بواسطة Azam TV
159 990 مشاهدة
0
801
تم نشره في 2018/04/28

Ndoa ya King Ali Kiba ilikuwa gumzo la kutisha ndani ya mji wa Mombasa na viunga vyake. Wakazi na wahamiaji wa mji huo wakajikuta wakisherehekea harusi ya King Ali Kiba. Hebu jumuika nao upate kufurahi pia.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 64