@towettcheptoo3047منذ 4 سنواتMay the lord have mercy on you and pray hard bro nothing is impossible with God 5
@
@lailalaila9114قبل 11 أشهرDaah mungu akusaidie kaka utapona tu afu kaka d uwe unatuletea milejesho tunapenda ona maendeleo y’a wagojwa wetu.
@
@abdulhalimhumud1917منذ 4 سنواتDah Mungu amjalie afya njema Kwa rehma zake na amuondoshee Mtihani amen aliekuwa nacho tumsaidie ndugu yetu 38
@
@gmdecoration6044منذ 4 سنواتInasikitisha Sana Kaka davista tunamuombea kwamungu mungu ndio kilakitu pia angeenda makongo juu kwa apostle mutalemwa angeombewa watu wana pona mungu anaweza Kaka pole Sana 7
@
@aikamosha5644منذ 4 سنواتMahakama mungu anawaona! Mwenyez Mungu akuponye bro,pole sn. 3
@
@ummuhassan2268منذ 4 سنواتPole sana kaka Allah Akupe shifaaa ya haraka 2
@
@hamisifereji2769منذ 4 سنواتDaaa inasikitisha Sana Hakika mungu yupo na atakisaidia kk
@
@aminajuma8098منذ 4 سنواتAm speechless ,may Allah intervene in his situation Amiin. 10
@
@nooor1120منذ 4 سنواتDhulma mbaya jamani Pole kaka Allah atakulipia hapahapa duniani biidhnillah. Allah akupe Afya njema aamiin
@
@ayunramadhan3104منذ 4 سنواتsubhanallah dhulma mbaya usimudhulum mwenzio maisha tu haya 5
@
@momymood4341منذ 4 سنواتJamn pole sana Mwenyez Mungu akuponye uamke tena 1
@
@bintiiddy7043منذ 4 سنواتMaskini pole sana kaka Mungu akufanyie wepes jaman 6
@
@lenniefei6710منذ 4 سنواتInasikitsha sana.kweli magerezani wapo watu wengi tu ambao wanatumikia vifungo kwa dhulma tu.inshAllah mungu atamlipia kijana Tabu Mwei huyu. 3
@MariamMariam-jj1ujمنذ 4 سنواتPole sana kaka kweli umasikini mbaya sana mungu akuponye kaka angu 1
@
@fatmaalnabhani3609منذ 4 سنواتPole baba, mungu atakusaidia na pia utalipiwa kwa kila aliekudhulumu 3
@
@jasminali5921منذ 4 سنواتSubhanallah subhanallah yarabi jamni hakika dhulma ni mbaya Sana pole kaka 2
@
@danielernest8588منذ 4 سنواتDah Mungu ni mwema utapona ndugu yangu 1
@
@salminmabrouk9567منذ 4 سنواتPole sana best m.mungu atakujalia utapona mdogo wangu na utaendelea na Maaisha
@
@africandarling6925منذ 4 سنواتDaaaaaa masikini Inauma sana Daaa AISSEH
@
@elisanjichanyange5485منذ 4 سنواتMambo mengine meusi jmn dunia hii mungu atunusuru, Pole kaka 1
@
@hamidaalhabsi8568منذ 4 سنواتDaaaa UNA MOYO mkubwa mungu akuzidishie KHERI NA barka NA pole sana NA ugonjwa utampata nafuu ameen yarab 5
@
@1lakiishaمنذ 4 سنواتHissh pole sana kaka please swali kumuomba mungu njia yako ina malipo makubwa. Usimsahau ALLAH MOLE WETU WA KILA DUNIA mbingu na ardh 3
@
@khadijajuma1408منذ 4 سنواتSubhana Allah Allah yupo pamoja na ww kaka angu 2
@
@juddyfuraha6272منذ 4 سنواتhey Davistar GOD bless you for hiring this, strori ya kaka Tabu yahuzunisha sana, mimi niko Nairobi ningependa kumtumia kile Mungu atanijalia lakini nambari hiyo haifanyi, kindly tusaidie vile tutakavyo mpa usaidizi wetu. 2
@
@siriyangu4724منذ 4 سنواتPole Allah akupe shifaa maana mmh uyo ni mtihani insha'Allah utauvuka amen
@
@blingnetcyber5286منذ 4 سنواتmungu atamsaidia na aingilie kati kwa kila jambo 1
@jacksonperfect6302منذ 4 سنواتDaaaaah pole jamaa yangu mungu yu pamoja nawee 2
@
@lucygeorgina8656منذ 4 سنواتDah noma kweli maisha haya sisi wanadamu tunajisahau sana unamsingizia mwenzio unamfunga miaka Ten bila uruma wakat hapa duniani tunapita tu dah kaka pole mungu atakulipia tu. Akhera ni mahesabu tu. 1
@
@abbiekale8387منذ 4 سنواتPole kwa hayo yaliyokubata.naomba upatilishe Jina liwe Baraka mwei, wachana na tabu ndio shida zikuaje pia. 1
@
@everlineandeso822منذ 4 سنواتPole kaka. maoni yangu mpelekani hospital kwanza aka anze matibabu nasituone vile tutazaidiana mandugu nikufaana 9
@
@uwimananadia6066منذ 4 سنواتPole sana kaka hakika maisha ni safari! Mungu yupo kaka angu na kila jambo hulijua kabla
@
@hamoodalbusaidi4671منذ 4 سنواتPole sana. usichoke kumuomba mungu atakusaidia utapona. na maisha yako yatakuwa mazuri mungu yupo na wewe
@
@emmanuelmeela3065منذ 4 سنواتDaa, hii dunia acha tuu, pole sana kaka 1
@
@rahmaramadhan9773منذ 4 سنواتDaaaaah jamanii Dunia jamanii hiii mmmmmh tumuachie mungu Allah akujaalie afya nasiha njema mitihani binadamu tumeumbwaaa. YaaAllah tupe mwisho mwema 1
@
@demitrahawkins5457منذ 4 سنواتAti ameanza maishais there any life to be started here? It's only God to help this situation haki 8
@
@shababygirlshambuwa8388منذ 4 سنواتMwenyezimungu akufanyie wepesi kakaangu .halafu namba Moja mumeikosea kwenye 26 nyinyi mumeandika 24 2
@
@berthamakortha8387منذ 4 سنواتYote ni maisha tu pole sana. 10 years sii mchezo. Nisamehe bure 3
@
@conslatorjossy3951منذ 4 سنواتPole saana kaka, mungu atakunusuru na hali hiyo
@
@nurafedrick378منذ 4 سنواتAngalau Leo wanane Yani dunia hii kuna watu wanafanana nawarabu kuthamini vitu pesa kuliko utu wamtu pole kaka huyo mwanamke kwan alishindwaje kukusubiri hadi anaolewa miaka kumi watoto watatu makubwaa hayo halafu nahisi kama huyo mwanamke alikuwa hajaambia huyo mume kama alikuwa ameolewa mana kwann alishindwa kukujibu??ila pole sana Mungu atakusaidia utapata wako wahalali nautapona kwaimani ....وسعت1
@
@juliusphabian6336منذ 4 سنواتDavister hiyo namba aliyoitaja na hiyo iliyopo hapo ni tofauti,,,,,Ilekebishe kama kuna uwezekano 3
@
@KibamashaMashaمنذ 4 سنواتMbn namba aliyotaja nitofauti na iliyoandikwa
@
@swaumujuma6333منذ 4 سنواتKweli inauma sana pole sana kaka mungu yupamoja nawe utapata nafuu
@
@angeljasson4376منذ 4 سنواتPole sana kaka Mungu atakufanyi wepesi utapona ila wazazi tujifunze kuwapa watoto majina mazur
@
@chunaabdullah1333منذ 4 سنواتNo Ya M, pesa please inauma Allah yupamoja nawe kkngu 2
@
@saadaalmamary8397منذ 4 سنواتPole kijana Allah akuponye ugonjwa wako ila mwizi siku zote hatoagi taarifa
@
@najatsalummohamed9168منذ 4 سنواتInaumma sanaaaaaaaaaaa kaka angu unamaumivu makubwa moyoni mwako hakika Allah kakujaalia mitihani mizito nayeye ndie atakaekujaalia mepesi zaidi ya mepesi hadi mwisho wa maisha yako .Amin ya rababl alamin 1
Pole kaka Allah atakulipia hapahapa duniani biidhnillah.
Allah akupe Afya njema aamiin
Allah yupo pamoja na ww kaka angu 2
Yani dunia hii kuna watu wanafanana nawarabu kuthamini vitu pesa kuliko utu wamtu pole kaka huyo mwanamke kwan alishindwaje kukusubiri hadi anaolewa miaka kumi watoto watatu makubwaa hayo halafu nahisi kama huyo mwanamke alikuwa hajaambia huyo mume kama alikuwa ameolewa mana kwann alishindwa kukujibu??ila pole sana Mungu atakusaidia utapata wako wahalali nautapona kwaimani ....وسعت 1