المدة الزمنية 50:53

Master Jay: Atoboa Siri kati yake na Shaa na P Funk / Harmonize / Sijaongea naye miaka mitano

بواسطة LilOmmyTV
54 589 مشاهدة
0
645
تم نشره في 2020/02/14

Fatilia mahojiano ya moto na mastaa unaowakubali kujua kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yao, #LilOmmy #THEMVP #KingOfInterviews anakukutanisha nao hapa hapa kwenye #LilOmmyTV Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy https://mobile.facebook.com/lilommyfanpage https://lilommy.com/ Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter..... enjoy!

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 108
  • @
    @fazeelshomary27044 years ago Nikiangaliaga Interviews za Master J na P Funk siku zote wanakuja na story mpya ambazo sijawah kuzisikia, madini mengi sana na Interview zao zinakuwa kali zaid wakiwa Interviewed na The MVP 3
  • @
    @Tino_Official_tz4 years ago Tambwee!!! No more words my brother. Wew ndio presenter wa pekee wa kiume ninayeweza kutizama interviews zako kuanzia mwanzo hadi mwisho hata kama ni zaid ya dakk 45. Sikujua hata hii imeishaje mzee 😂😂😂😂 tisha sana 8
  • @
    @maitharobert68334 years ago This is the best Interview already this year. Lil ommy you the best. respek to Master J 12
  • @
    @kingcobra92384 years ago SALUTE MKONGWE MASTER J nakukubali tangu kitambo enzi za kina Tupac omar shakur SALUTE MKONGWE
    NAWAPATA KUTOKA ( U.A.E ) KING COBRA FROM MANZESE BRIDGE
    10
  • @
    @fatmasayid88954 years ago Hii interview Bora kwa mwaka 2020 na ku respect master Jay siku sote unawaambiya kweli hao watu wasiojielewa respect kizazi kabisa 5
  • @
    @rodgersgregory71984 years ago Probably this is the last interview ya LilOmmy akiwa TimesFM if you connect dots. 15
  • @
    @slemdj4 years ago kwa mara ya kwanza na fuatilia interview mpaka mwisho, LilOmmy umetishaa Master J ana content za kutosha big up brother 2
  • @
    @beatricechristian92574 years ago Kweli kabisa mm mpaka leo napenda nyimbo za zamani kuliko za sasa🙌🏽🙌🏽🙌🏽 3
  • @
    @dkensmopainvevo36834 years ago Jamaa ana make sense saana 👊
    Master j Noma saana
    2
  • @
    @lukomimaligila48714 years ago sound engineers vs sound makers.. noma sana 1
  • @
    @muhaog50154 years ago @Lilommy... Unajua sanaaaaaaaa.... ___MvP..... ✊✊💪💪💪👊👊👊👊 2
  • @
    @samsonallen57254 years ago nilicho gundua mastar jay mkwel yupo streight 7
  • @
    @khaulatmohammed37654 years ago Huyo dada mtangazaji mrembo pia anasaut nzur ma sha allah 💕💕 5
  • @
    @piliciza16274 years ago Lil ommy am so proud for you but tunamtaka daimond kweny the play list maneno nimengi aweze kuweka saw mashabiki wake wenye wapi inchini nainje ya inchi please Bro lil ommy play iyo nafaai 11
  • @
    @bish_daddiyao4 years ago Real Talk....Real Interview... Man The Show Teaches Alot Damn Its 🇰🇪❤️💥 6
  • @
    @yizaziyizerimana7744 years ago mimi ni bitmaker autanisaidiaje nataman kuwa produser 3
  • @
    @saumuhassan63654 years ago Kizazi sana Bro 2
  • @
    @watsonsheckland7034 years ago Master J.
    Umewataja wenzako legend producers and I agree u r professionals, but natamani kwanini msifanye kitu kuandaa trainings kama si kufungua shule kwa ajili ya maproducers wetu
    Ili na wao wawe pro.
    1
  • @
    @zennakailo81064 years ago Daaaah nmekuelewa sana bro🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🥰🔥🔥 2
  • @
    @maryannqyut81944 years ago This is the beeeeeeeeeeeeest interview ive seen ths year..... i love u both❤️ 1
  • @
    @shaphyvuai68054 years ago Hii interview ya moto sana Master Jay kafunga sana Leo but Mzee Lilomy unaonekana Kama unataka kusema Kua unasepa hapo mjengoni ....au VIP lakin ulipo tupo... 2
  • @
    @mugadimon35634 years ago Hawa majamaa( masterjay&p-funk ) ni watu konkii kwenye huu muziki ni wanajua maclassic song waliyoyatengeneza hakuna madogo waliotengeneza hit kama zenu 4
  • @
    @natashaally1924 years ago I adore master j..he is brilliant. Interview excellence
  • @
    @richardgeofrey42494 years ago interview yng kubwa kwa muda wote itakuwa ndio hii baada ya ile ya daimondi Sina chakusema lkn nakutakia maisha marefu yenye afya tele brother endelea kuwapa vijana kile ulichonacho ktk maisha yao 1
  • @
    @gtunewaves28674 years ago nafurahi sana nikiona interview za watayarishaji wa muziki ni kitu kikubwa sana 1
  • @
    @afterfull-time13484 years ago Lil ommy nilichogundua ukienda wasafi utawatesa hasa wale viroho kukunja( KAA) wanaochukia maendeleo ya watu ila nenda tu ili hicho kizazi kife kwa kila idara¡¡¡ 4
  • @
    @josephvenus32594 years ago Bongo Dar es Salaam. It's my hit song. Ingawa huyo jamaa hajawai kukosea. Mj na Bongo Record ni hatari saana watu hao. 4
  • @
    @slemdj4 years ago siijui ikiisha hii interview nita play nn 🔥🔥🔥 1
  • @
    @kayjuma26294 years ago the MVP half man half amaizing tambweeee, ebhana real talk real interview. 1
  • @
    @amanimanase57944 years ago Wape ukweli maana many artsit in bongo hawana challenges kweny game wanaigaiga then wanafata nyayo ambazo sizo ndo apo sasa wanapoelekea kupoteza ladha ya muziki wa bongo 2
  • @
    @ibrafumbo38894 years ago Natamani sana watanzania wajue unacho kizungumza 2
  • @
    @jessymalembeka61814 years ago Umeongea kitu kikubwa mno wasanii wa sasa wengi hawawezi kuimba live kweli. Studio inawabeba sana 2
  • @
    @husseinyusuph54584 years ago Lil anakuuliza swali la mziki kwenye verse mpaka sekunde na dk duh we huna mfano 2
  • @
    @MegaPhage4 years ago The first time nimetazama interview mwanzo mwisho bila kuskip..big up guys na MJ... 2
  • @
    @patrickmpali70914 years ago Master kwa ngwear nakubari miaka elf 100000000
  • @
    @mariamsalum57944 years ago 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daaaaah umeniua mbvu apo kwa shaa 2
  • @
    @leilabuisha99764 years ago Aah huyu me simpendi ajabu. Anajifanya wa maana sana, huyu kamzarau sana yule mtoto wa watu Hamisi. Mungu anakuona wewe na kiburi ulicho nacho..Ngegere mkubwa we! Kenge mtu 1
  • @
    @Kobe_2544 years ago Umesema kweli😂😂 nipo marekani lakini hao kina Future ata nimemsikia leo... aki walai sijasikiza hizi hip hop za sikuhizi!!! Ata sizijui waah, Bado nacheza mziki wa kitambo... 25stillstrong!! 1
  • @
    @fazeelshomary27044 years ago Kesi ambayo Master J hakutaka kuiongelea kuhusu Maproducer ni Ya Man Walter na Alikiba 1
  • @
    @innocentmushi15504 years ago Master J ni mfanyabiashara..ametaja pesa mara nyingi😅😅 2
  • @
    @bueno18184 years ago - Kama Alitaka Kusema ndo show ya mwisho akasita.....hahaha lily OMMY the MVP
  • @
    @joesimba3 years ago
  • @
    @mukonoboaz18264 years ago kweli kabisa, hakuna waimbaji kabisa zama hizi.
  • @
    @charlesjanny82324 years ago Aliyesoma kasoma tyuuu hakuna producer bila director.........ni Bytheway 3
  • @
    @jamilaomar98604 years ago 😁😁😁😁😁 Master J umenichesha hapo kwa Shaaa
  • @
    @EduKafro4 years ago Tunaumia saana kweli jamaa anaondoka. Ila baba we ndo tulikua tunafuata sasa tunasubiri utufanyie mengine makali. 2
  • @
    @georgeludakulo68484 years ago Interview ilikuwa pow xn nilipenda ifanyike kama masa24 1
  • @
    @husseinyusuph54584 years ago Broo anajua kumuuliza mtu maswali siyo yakihuni 2
  • @
    @makamejabir66814 years ago Ulipo tupo . 2
  • @
    @fredypastoryutd48644 years ago Kweli nyimbo ya Shaa Shoga niliielewaga saana. Siku ya kwanza kuisikia na baadae video viliendana saana. Ila vipi unamzungumziaje Mica mwamba.?
  • @
    @abrahamkilele43654 years ago Nataka kujua kipindi hiki ni siku gani na nisangapi....maana kipindi bomba sana
  • @
    @stanleygeorge66384 years ago Nani kawaambia kua anaondoka wambea wakubwa nyie 2
  • @
    @rahillhamidu25444 years ago Half man half amazing always your outfit
  • @
    @mohamedabdul28104 years ago Master jay na p funk waheshimiwe sana ktk tasnia ya mziki........... 1
  • @
    @mmakiluly4 years ago umewasukuru wote ambae hajaridhika akafe mbele
  • @
    @ibrafumbo38894 years ago Natamani sana watanzania wajue ukweli wako 2
  • @
    @stevewanga9574 years ago Hawa ndio walimtoa Harmonize morali kabisa.... Lkn kila kitu Mungu 1
  • @
    @kerjoyofficial92134 years ago Kwa Mara ya kwanza p funk majani kulizungumzia hili jambo bonyeza link upate kutazama 1
  • @
    @abrahamkilele43654 years ago Nataka kujua kipindi hiki ni siku gani na nisangapi....maana kipindi bomba sana