المدة الزمنية 3:9

CHADEMA KUWAHUKUMU MDEE, MATIKO, BULAYA NA WENGINE 16 BAADA YA KUAPA/HATUTAMBUI

بواسطة HABARIMPYA TV
50 479 مشاهدة
0
92
تم نشره في 2020/11/24

Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema hawatambui orodha ya wabunge wa chama hicho wa viti maalum walioapishwa na Spika Job Ndugai mjini Dodoma leo Jumanne Novemba 24, 2020. Kimesema kamati kuu ya chama hicho ndio hukaa na kupitisha majina hayo lakini haijafanya hivyo, hata mchakato wa kuyapeleka majina ya wabunge wa viti maalum wa chama hicho Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pia haukufanyika. Walioapishwa leo ni HalIma Mdee, Grace Tendega, Esther Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Lambart, Nusrati Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo, Asia Mohammed. Wengine ni Felister Njau, Nagenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stella Fiao, Anatropia Theonest, Salome Makamba, Conchesta Rwamlaza.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 79