المدة الزمنية 6:4

KICHEKO MSIBANI: Angalia Masanja Mkandamizaji alivyowachekesha watu siku ya mazishi

1 180 927 مشاهدة
0
2.5 K
تم نشره في 2018/01/27

Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 166
  • @
    @nyash2542منذ 6 سنوات Good speech for the family n community i like the intermix this guy is brilliant.when it's sad time we need people to comfort us at the same time educate us not to provoke God.God bless you Masanja. 4
  • @
    @user-ng6yt2od7lمنذ 4 سنوات Masanja oyeeee from Lebanon nawakilisha 1
  • @
    @hekimasandet5332منذ 3 سنوات Nawatangazia ulimwengu kwamba Yesu kristo atarudi kuchukuwa watakatifu wake okokokeni tubuni haraka walioanguka rudini kwa Yesu inukeni tutembee 3
  • @
    @sadickwalker2795منذ 6 سنوات Safiiiiiii. majeshi majeshi.%100 2
  • @
    @seiftaji4416منذ 4 سنوات Polepole na kamati yako mupo vizuri sana saluti kwenu maana musiba hafai kua kiongozi pamoja na lugola alikua waziri wa mambo ya ndani akathani dunia ameibeba kwenye mgongo wake kumbe mambo ya mpito too.
  • @
    @paschalnkwabi6938منذ 5 سنوات Ni vizuri kwa kuwa kilio hakitakiwi kwa watakatifu.
  • @
    @benigneirakoze9906منذ 6 سنوات Jameni mbavu zangu nakupenda bule masanja 1
  • @
    @bonabonala7685منذ 6 سنوات Masanja nirikua nakipinga sana IRA Leo nimekukubali wenimtumishi wa mungu nisamehe kwa kukupinga ameni ubarikiwe imanueli mgaya nakuoenda sana kama unavyojikubali mwenyewe aleluya!!
  • @
    @nderindichu8754منذ 6 سنوات Safi sana mazishi ya watakatifu haina kilio twajua mwezetu ametangulia tu nyuma nasi.
    Kenya hapa nawakilisha
    12
  • @
    @amoslumoka6065منذ 6 سنوات Nampenda sana Rais wetu Jonh Pombe magufuri kwa kazi nzuri anayo ifanya,ametufuta machozi kwa mambo yote tuliyo yapata kipindi cha nyuma,naomba watanzania id="hidden4" class="buttons"> wote tuzidi kumwombea uzima mungu azidi kumwongoza katika kazi yake nzuri anayo ifanya,Amina ....وسعت
  • @
    @georgemwambona9890منذ 6 سنوات amen mungu ni mwema hatuna bundi kumrudishia yeye sifa na utukufu
  • @
    @lukashally6509منذ 6 سنوات msuya utahukumiwa kwa kutofuata maagizo ya kristo
  • @
    @e.mbalazichannel4135منذ 6 سنوات Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe
  • @
    @chasyrebeka3122منذ 5 سنوات Tafuta furaha,aman,upendo wazati,hekima,busara,piakueshimika kupitia mungu kwamwanadau utapata machozi
  • @
    @rameckjoseph3875منذ 6 سنوات Bwana alitoa na Bwana ametwa jinalake lipewesifa 6
  • @
    @HASASONمنذ 6 سنوات Hivi Gwajima ni lini atajenga lile kanisa alilosema na kununua Ile train? 2
  • @
    @millionviewsdigitalمنذ 4 سنوات https://www.youtube.com/playlist?list=PLKasB8zDTCL-jXnbRpY_0e-ydrNjlulzU
    Soma Biblia kila siku kwa njia ya Audio
    1
  • @
    @yahayaally470منذ 5 سنوات Nikweli kabisa masanja Kwa sababu Sisi watanzania tunaongoza Kwa rushwa matajir wote wange enda pepon .
  • @
    @wazidimahenge2811منذ 6 سنوات Haha masanja bibi alikuwa kweny promotion time 2
  • @
    @nemohos4885منذ 6 سنوات hivi kuna mtuu amemuonaga mungu au yesu? kuna mtuu ambayo ameenda binguni au peponi? saa nyingine ujinga ni ubaya. ukishakufa basi tuu amna kitu kinaendelea. id="hidden5" class="buttons"> angalieni amerikkka wanauwa watu wengi alafu bado wanasema wao ni nchii yawa christo. daa nilisaau mungu aliuwa watu wakati hali panda juu na wazimu wake. daa mungu apendi afrika ndio maana nchii za afrika haziendelewi na wageni ndio wanapendwa. watanzania wengi ni wa jinga kama nini, amukeni kondo ....وسعت 1
  • @
    @paulvenance6843منذ 4 سنوات Da!!!
    Umefariji hadi sahau kama uko na msiba.
  • @
    @teresiamsekwa1751منذ 6 سنوات Masanja umezd kuchekesha bhana mpaka ubavu wauma
  • @
    @drmadofetv7477منذ 6 سنوات Doctor madofe tiba asili yupo kwaajili yenu, kutoa majini wachafu, kuzuiya majinamizi, kushika wezi, zindiko la mali, kumvuta mpenzi, kusafishwa nyota, id="hidden6" class="buttons"> kupata mtoto haraka, kurekebisha ndoa zenye migogoro, kumzibiti mme au mke kwenye michepuko, kufunga ndoa haraka, kupata Pete yabahati, kupata utajiri wa majini, dawa za biashara, masomo darasani, wasiliana na doctor madofe ili upate tiba, sim 0657035985,0745065574,0685326723. ....وسعت
  • @
    @shomarimsuya8204منذ 6 سنوات Nyie hukumu Itoke wap na wakati yesu kashabeba dhambi zenu ! 9
  • @
    @stevenmligo8734منذ 6 سنوات Jamani tumesahau kwamba kuna sherehe mbili. Ambazo ni kuzaliwa na kufa. Tuwe tunasoma biblia jamani eeee. Ubishi wawabongo.!!!! 18
  • @
    @salmaothman153منذ 5 سنوات Hapo ndo wanaponiacha hoi mm nilifikiri sherehe kumbe msiba
  • @
    @abdulysheky1057منذ 6 سنوات Ningeamini Gwajima ni mfufuaji wafu kama angelimfufua mama yake 4
  • @
    @edwardjulias3375منذ 6 سنوات na wew umekisea sio shereh mbili soma vizur biblia
  • @
    @KA-yz2ldمنذ 4 سنوات Lol kwa M/Mungu tumetoka na kwake tutarudi 1
  • @
    @hollynationproductions6326منذ 6 سنوات mbona kama sielewi elewi jaman hii nisheree au msiba maana naona jeneza 1
  • @
    @elizabethmwandu9899منذ 6 سنوات Mmmmhu huu msiba au nini ? Manake si kwa vicheko hivyo 1
  • @
    @hechihechie5558منذ 5 سنوات Mm nifiwe na mzazi Wangu alafu nimwone mtu anafanya km anachekesha siwezi kumpenda 2
  • @
    @zanzibaronlytv3470منذ 6 سنوات Sasa ngwajima c unafufuaga watu ww, ,tunaomba utufufulie masI mzee wetu 3
  • @
    @shaabanmrishoshaaban1945منذ 4 سنوات wee kama unamuamini MUNGU Tuelezee kwenye hi haleluya yako sheria afanywe nini au utungiwe ya kiumbe ndio MUNGU hakua na sheria kakuletea upako tu wa kudanganya watu