المدة الزمنية 4:43

MZEE UPAKO KAFUNGUKA BEN PAUL KUBADILI DINI HAKUNA UGOMVI

بواسطة Millard Ayo
42 100 مشاهدة
0
495
تم نشره في 2020/10/24

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 255
  • @
    @khalifasultan2677منذ 4 سنوات Aisee Well Said! Umeongea Vitu Vipo Sawa Sana Mzee Wa Upako! Tusijenge Ukabila Wala Udini, 25
  • @
    @wilbertkigulu282منذ 4 سنوات Nimekuelewa Sana Mzee wa upako somo jema kwa jamii! Ubarikiwe sanaa! 7
  • @
    @awadhirajabu6833منذ 4 سنوات Mzee Sema Yote Lakini Ili Kundi Lenye Kubadili Dini Kwasababu Ya Kuoa Mke Awana Hata Udini Pumbavu Zao Badili Dini Kwasababu Ya Kusoma Neno Bila Kizingiti id="hidden1" class="buttons"> Cha Mke Awa Watu Wako Hata Tulipo Wapo Wamebadili Dini Kwasababu Ya K.Yani K.Inamtaka Abadili Dini Nae Ufanya Ivo Yani Mtu Anabadili Dini Sasa Wakizinguana Wakiachana Analudi Kwenye Imani Yake Ya Zamani Sasa Watu Awa Kweli Wanakua Na Imani Au Kufuru Tu Mke Ukifa Unamuacha Akuna Mke Ambae Atakubali Ukifa Nae Mfukiwe Pamoja Kabulini Akuna Sasa Kwanini Ubadili Dini Yako Imani Yako Kwasababu Ya Tamaa Zako Za Mwili Juu Yake Makubwa Aya Watu Wengine Sasa Sijui Wako Na Makengeza Mioyoni Mwao Akilini Mwao Eti Mtu Akivaa Kanzu Na Kilemba Kikimkaa Eti Haa Uyu Uislamu Umemkaa Umempendeza Aya Mawazo Finyu Sana Dini Ni Imani Ilio Moyoni Nasio Inje Kanzu Na Kilemba Ninguo Tu Sema Kwakua Watu Waliokua Wakizivaa Ndio Waanzilishi Wa Imani Iyo Iliotua Kwao Lakini Aimanishi Kanzu Au Kilemba Mtu Akivaa Basi Mtu Uyo Nimwenye Imani Kubwa Apana Imani Ni Sili Na Matendo Pia We Unajuwa Wazi Mtu Alifanya Matendo Inje Ya Imani Mnaona Wazi Lakini Mnasifu Ujinga Mfano Tendo La Kubadili Dini Kisa Mke Ni Tendo Baya Sana Yani Unabadili Dini Kisa Mke Sasa Apo Wewe Utakua Unamuabudu Mkeo Na Sio Mungu Wako Uyu Jamaa Sio Yeye Tu Bali Ili Kundi La Ngono Liko Kubwa Sasaivi Yani Shetani Kashika Vichwa Vingi Sana Kaline Hi Mke Ukifa Uzikwi Nae Tena Usiombe Huumwe Huugue Ataliwa Mbere Yako Sasa Sijui Utamlaumu Mungu Apo Pindi Akiliwa Uroda Ukiwa Unaona Na Uko Kitandani Uwezi Kumlaumu Mungu Wakati Mkeo Ndie Mungu Wako Watu Tuishi Lakini Vifo Vipo Na Kila Mtu Adumishe Imani Yake Nakama Unataka Kuama Imani Yako Kwenda Upande Wa Pili Basi Soma Sana Kwa Imani Ili Upate Jibu Sahihi Ili Hata Ukufa Uamini Imani Yako Ilio Mbere Yako Utayokufa Nao Ukiwa Ndani Yake ....وسعت
  • @
    @fatmaothmanally9416منذ 4 سنوات Masha Allah umeongea maneno mazuri kwel 2
  • @
    @zuberykharoub6868منذ 4 سنوات mzeee wa upako nakuelewaga sana. gonga like kama unamkubaki anton lusekelo(mzee wa upako) ❤❤❤ 3
  • @
    @allymohamed8658منذ 4 سنوات Mzee wa upako nimekuelewa, unabusara ya hali ya juu, mungu akutie nguvu na maisha malefu 6
  • @
    @user-cr9mf7dg4kمنذ 4 سنوات Mwenyez mungu amjalie asimamie dini yake vzr
  • @
    @nassormakwaya5970منذ 4 سنوات Allah akuzidishie khekima na busara mzee wa upako pia akupe umri mref wenye kher na baraka
  • @
    @joycenicodemus.2232منذ 4 سنوات Tumekuelewa mzee waupako.ubarikiwe sana
  • @
    @namwanjafakii8156منذ 4 سنوات Paster mm muislam,,,,,lakn Upo good xana,,,,ama keel biblia unaijua,,,,ubarikiwe ww ni mwelevu xana,,,,,,, 4
  • @
    @elisantej5512منذ 4 سنوات Mzee wa upako nimefurahi kuona afya yako imerudi kama zamani. Yesu ni mkuu 6
  • @
    @daudimichael7338منذ 4 سنوات Hongera sana mzee wa upako kwa busara zako. Ni kweli Mungu ameweka njia mbili, ya upotevuni na ya uzimani na ametuachia uhuru wa kuchagua.
  • @
    @rajahally9936منذ 4 سنوات Sawa baba paroko umeongea lamaana hongera Sanaa kiongezi wanguu wadini
  • @
    @andrewmussa9367منذ 4 سنوات Leo,ndo nmeona umeongea point sana ,big up sana 2
  • @
    @dbless310منذ 4 سنوات Kazungumza maneno mazuri sana kwa mala ya mwanza 20
  • @
    @gregorychogelo2013منذ 4 سنوات Jamaa angekua hapigi vi sanitizer angekua na akili zaidi ya hapa.
    6
  • @
    @akramissa3393منذ 4 سنوات Huyu mzee kwa Mara yakwanza nimekuelewa kaongea point sana 7
  • @
    @josephatjordan2150منذ 4 سنوات Wnaoelewa hapa ni wale wenye IQ kubwa tu au akili nyingi na ambao hawakulisisha dini kama kabila!!dini n uhuru na haki!!!Umeongea point na bila kuchonganisha umetoa uhuru moyo kwa kila mtu 22
  • @
    @khamysamursally5932منذ 4 سنوات Mm huwa nakupenda sanaaa Mungu akusimamie ktk harakati zako
  • @
    @wazirmlogi7532منذ 4 سنوات Umeongea point sn,yan ni maneno yasiyo na ubaguzi 5
  • @
    @mohammedabdallah6390منذ 4 سنوات Mzee wa Upako kunywa fanta moja nakuja kulipa 23
  • @
    @tibakisunnahnaasili6250منذ 4 سنوات Assalaam Allaykum Warahmma TuLlaah Wabarakatuh Ndg Zng Mimi ni Doctor Wa Dawa Za Asili/Kisunnah ninatibu Magonjwa yafuatayo.
    1-U.T.I id="hidden4" class="buttons"> sugu
    2-Maralia sugu
    3-Kichocho
    4-Kipanda USO
    5-Kisukari
    6-Saratani/Cancer
    7-Sikoseli
    8-Amiba
    9-Vidonda Vya Tumbo
    10- Tumbo kujaa Gesi
    11- Pumu sugu
    12- Pressure/Presha
    13-Maumivu ya Miguu
    14- Miguu kuvimba
    15- Miguu kuwaka moto
    16- Nguvu Za Kiume
    17- Nguvu Za kike
    18-Kukosa Hamu ya Tendo.
    19- Hasira Bila Sababu
    20- Figo
    21- Kutoa Jini Mahaba
    22- Kutoa Mashetani
    23-Kuombewa Duaa Ktk Familia Kuwe na Utulivu
    24- Mtoto Kusahausahau
    25- Mgongo kuuma
    26-Kiuno kuuma Saana
    27- Macho kuuma
    28- Mafua Sugu
    29- Kikohozi Sugu
    30-Bawasiri
    31- Kukosa Hamu ya kula
    32-Kifua Kubana
    33- Gono
    34- Kaswende
    35- Kisonono
    36- Kuharisha
    37- Kuondoa Chunusi
    38- Kutoa Sihri Mwilini
    39- Koo Kuuma
    40- Na Magonjwa mengi pia tunatibu
    41-Kukuuza Uume Kibamia
    42-Mafuta Mazuri Ya Nywele
    43-Kumbaku (Kuota Vinyama Puani)
    44-Na Vinyama kwenye Koo
    45-Fungus Sehemu Za Siri Mwanamme Na Mwanamke
    46-PID kwa Wanawake
    47-Kuzuia Chuma Ulete
    Pia Magonjwa Mengi Tunatibu Kokote Ukihitaji Dawa Inafka kwa Uwezo Wa ALLAAH ﷻ
    Mawasiliano ni
    +255655245080 WhatsApp
    +255786153977
    USHIRIKINA KWETU MWIKO!!!!
    ....وسعت
  • @
    @farhatfarhat3816منذ 4 سنوات Nimekupenda sana ujapendelea upande mmoja bgp sana
  • @
    @maalimrajabu1634منذ 4 سنوات Maneno ya mwenye akili hayo hongera sana mchungaji
  • @
    @ramadhaniabdi9530منذ 4 سنوات Kama Ili Ni Jambo La Kwel Bhas Mungu Amsimamie Vyema BenPol Na Kama Ni Kiki Bhas Mungu Atamlipa 13
  • @
    @zkiduku4068منذ 4 سنوات Ni kweli kila mtu na imani yake maana sote Mungu wetu ni mmoja 24
  • @
    @sharifabdul6085منذ 4 سنوات Safi sana mzee wa upako,na tz ni nchi huru na haifungamani na dini yyte ispokua raia wake wana dini,kwa hiyo maamuzi ni yako kuchagua dini uionayo itakupeleka ktk kupata salama hereafter
  • @
    @ndekemwaifyusi8499منذ 4 سنوات Mzee wa upako huwa nakuelewa Sana. Uelewa wako upo tofauti.
  • @
    @pericykiko6198منذ 4 سنوات Mm unaniudhi tu hio cheni yako usipoivaa utaishika Ina Nini hio?
  • @
    @saidsalum6101منذ 4 سنوات Kweli mzee waupako umeongea vitu vichache sana ila umeeleweka vizuli sana 1
  • @
    @hilarykinyekile7433منذ 4 سنوات Tunamuomba Mungu mmoja,Hakuna shida hapo 5
  • @
    @afizuboy3433منذ 4 سنوات Ben pol walah aujapotea.upo katikadini sahih ilajitahidisana ujue kusoma kuran 7
  • @
    @jumason142منذ 4 سنوات Mzee wa upako umeongea point Sana kweli we ni mkomavu kwenye dini hongera Sana 5
  • @
    @florianhenry7198منذ 4 سنوات Point taken kumbe kabla hujanwa pombe unakuwa na busala
  • @
    @guledomary2812منذ 4 سنوات Mzee wa upako umeongea vizuri Sana ..suala la kubadili dini Ni hiari ya mtu hivyo isiwe sababu ya kumkashifu mtu kwa maamuzi yake..pia inajenga umoja katika jamii. 1
  • @
    @aloycekiwia8613منذ 4 سنوات Afadhali aanze Kuimba Qaswida aachane na miziki ya Kidunia. Uislam hautaki Bongo fleva. 2
  • @
    @luseProمنذ 4 سنوات Kunywa bia mbili hapo nakuja kulipaa umeongea point.. 1
  • @
    @kibasamohamedi8029منذ 4 سنوات Umeongea point agiza wine nalipa Mimi, utantumia namba ya kulipa pesa 1
  • @
    @josephphares5334منذ 4 سنوات Mchungaji unaongea Utopolo,acha kumpongeza mtu aliyekengeuka. 1
  • @
    @humairamajengo6616منذ 4 سنوات Mleten Benpol mwenyew aseme Maana anatuchanganya huko insta
  • @
    @sawdaasawdaa7903منذ 4 سنوات Muisilamu anaongozwa na roho .sasa kwanini tusijenge umoja na Allah kasema tusilazimishi dini ili tujenge tuishi kwzkushurikiyana iki na kile ila ya dini id="hidden7" class="buttons"> anaongoza mwenye enzi Allah anasema ishi tuishi nanyi kwa wema ila kwa maisha ya kawaida ki dini kilamu aabudu anaye mutegemeya. Dini ni moja ya uisilamu ....وسعت
  • @
    @omarmchoya359منذ 4 سنوات Mzee waupaco katka sk umeongea maneno yabusara bs nileo namin naww ipo sik utakuwa wetu tuy! Sema inshaallahha?! 10
  • @
    @yangoshatv5327منذ 4 سنوات amna kabisa ben kakosea mno kutafuta ukoo mpya kidini alikuwa akiwaona waisilamu wamevaa kanz anaumia sana leo kaivaa wazaz umewacha ben
  • @
    @rehemadearing3356منذ 4 سنوات Nimependa point yake japo mimi ni mkiristo.
  • @
    @mwajumayunus419منذ 4 سنوات Mzee nimekuona anabusara mno maana wengine yangewatoka maneno
  • @
    @najma3268منذ 4 سنوات Mimi huwa naamini munguwetu ni mmoja, dini ni kila mtu anaona hii ndo sahihi ndo ntafika salama, lakin , kinachokufikisha ni je unaamini kuwa mungu yupo, id="hidden8" class="buttons"> na unamuomba , haijalishi unaomba kwa dini gani au lugha gani mungu wetu husikia popote pale ....وسعت
  • @
    @ibrahimmchucha3034منذ 4 سنوات Nimeelewa apo namna hiyo mzee wa upako Safii iyo nzuri bila chuki
  • @
    @emmadora7848منذ 4 سنوات Angekuwa katoka uisilamu na kaenda ukristo ,mzee ungeongea maneno hayohayo lakini hawa watoa pongezi ungewaona sio kwa maneno makali wangetoa ,ungesikia Mara msiba, mara hasara binadamu hawa mhh
  • @
    @kiatuمنذ 4 سنوات Ni kweli kabisa sababu ya kubadili dini ni vyema kama sio shinikizo
  • @
    @youtub8320منذ 4 سنوات Yaani huyu mtu na mimi mawazo yetu nikama mapacha huwa anaongea kitu ninachokiwaza mungu akulinde lusekelo
  • @
    @mkalijaribu870منذ 4 سنوات Wachungaji wengi ila huyu jamaa hua namkubali sana japo na mapungufu yake hua anajua kutengeneza peace na harmony kikubwa anachoangalia hua ni ile hali id="hidden10" class="buttons"> ya mtu kumjua Mungu kwa imani ya moyo na nafsi yake sio kubabaisha babaisha ....وسعت
  • @
    @newttechog75منذ 4 سنوات We mzeee iyo vita ya kidini itatokea wapi tz uschochee bwana
  • @
    @kaifaiddy9618منذ 4 سنوات Mzee wa upako ni mtu mwenye akili nzuri kulingana na nafasi yake napia ana hekma 1
  • @
    @KhadijaKhadija-cv9dbمنذ 4 سنوات Mungu anisaidie mm kwakweli maan hp nilipo nipo katikati
  • @
    @nasserm.nasser5087منذ 4 سنوات Watu maarufu na wenye utajiri ni rahisi kuwa waislamu maana hawana pressure ya kufuata dini za wazazi/jamii zao. Sancho alisilimu mwaka huu pia
    Ni id="hidden11" class="buttons"> sawa na ulaya, wazungu wanaslimu kwa wingi sana maana ni watu huru wanaoamua mambo yao bila wazazi wao kuingilia
    Wamechoka kufuata dini za urongo ambaxo haziendani na nafsi na maumbile yao
    ....وسعت
  • @
    @josephmusagasa5566منذ 4 سنوات Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari,kuwa wazi mzee wa upako,usiongee kwa kupotosha
  • @
    @mathewdeus4462منذ 4 سنوات Sina comments nimejikuta nabonya bonya battan 1
  • @
    @emmanuellaurent2234منذ 4 سنوات AKILI KUBWA HII. HUJAWAHI NIANGUSHA MZEE WA UPAKO