المدة الزمنية 5:5

PDG RAMMY AMISI-MOYO WA WANAMUZIKI WENGI

بواسطة Cheza Kidansi
157 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2020/07/22

Tumekutana na mdau mkubwa sana wa muziki wa rhumba RAMMY AMISI. Huyu bwana amekuwa siri ya mafanikio kwa wanamuziki wengi ndani na nje ya Tanzania. Amewasaidia kiuchumi, kimaisha, kimuziki wanamuziki wakubwa kama KOFFI OLOMIDE, FERRE GOLLA, ADOLPHE DOMINGUEZ, KARMAPA, na wengine kibao hapa nchini Tanzania. Kwa sasa amekuja na project mpya kali sana. Msikilize hapa akiiongelea. Huu ni mfano mkubwa sana kwa wadau wengine wa muziki wa dansi. HUYU NDO PDG WETU WA LEO.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1