المدة الزمنية 8:14

VILEJA VYA NANASI: Namna Ya KuTengeneza Vileja Vya Nanasi Ya Kumumunyuka. Eid Special. Matamu Za Eid

بواسطة Tamu Tamu Tv
462 مشاهدة
0
20
تم نشره في 2020/07/20

#vileja #mapishimapya #vilejampya #eidspecial #vilejavyaeid #eidcookies HABARI MARAFIKI! Leo Nimewaletea Mapishi Ya Vileja Aina Mpya Ya Nanasi! Natumai Mutaipenda, Haswa Kwa Wakati Huu Wa Eid Inakaribia. Musisahau Kusubscribe. Nitawaletea Vileja Aina Mpya Na Tamu Karibuni. Mahitaji: -250g Blueband -50g Sukari -Vipande Vya Nanasi -Vijiko 2 Maziwa Ya Unga -Vanilla -Unga Vikombe 21/2 -Corn Flour 1/2 Kikombe. Natumai Mumeipenda Mapishi Tamu Kwa Njia Yangu. Subscribe Kwa Channel: /channel/UCxueimtYZpzTjE5tRPX3fYg/featured #USISAHAU KILA MTU NI MPISHI. INSTAGRAM: https://www.instagram.com/tamutvtamu FACEBOOK: https://www.facebook.com/matamu.tamu.77 LIKE , SHARE, SUBSCRIBE

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10