المدة الزمنية 39:22

MUFTI: BAKWATA SIO CHOMBO CHA SERIKALI, NI CHOMBO CHA KUUNGANISHA WAISLAAM

بواسطة Mwananchi Digital
26 993 مشاهدة
0
108
تم نشره في 2018/12/17

Miaka sita tangu kukamatwa kwa masheikh 22 wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar na kuwekwa mahabusu, Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amezungumzia kwa mara ya kwanza suala hilo, pamoja na mambo mengine mbalimbali kuhusu BAKWATA.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 117