Zaidi ya kilo 28 ya Dawa za kulevya zimeteketezwa na Tume ya Kitaifa ya kuratibu na kudhibiti Dawa za kulevya kufuatia kukamilika kwa Kesi 41 za Dawa hizo zilizohukumiwa katika Mahakama kuu Vuga Mjini Zanzibar.
#zbctvonline#zbczanzibar
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على ZAIDI YA KILO 28 YA DAWA ZA KULEVYA ZIMETEKETEZWA: