Dk. Mwinyi amesema hayo leo katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil, Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
/watch/gP9ye7QajQQay/watch/Y9mrg7gbcsMbr
@ebrahimosman5477منذ 3 سنواتUsiwalee waokua hawataki kibadilika wamalize tu inshaa Allah
@
@faisalmohamed2746منذ 3 سنواتUnamfanyia kejeli kiongozi ambaye anamsujudia Allah ktk msikiti
@
@jifunzemengi1620منذ 3 سنواتAssalaam alaykym naomba muangalie hilo tangazo haliendani na maadili yetu
@
@salamakhamis8092منذ 3 سنواتJamani yote Tisa kumi nihizi barakoa nikwaajili ya Korona au ndio mtindo wakisasa?? 1
@
@mosaidi2633منذ 3 سنواتWaafrika ni tabu ,jaribu kuwaongezea mshahara mara mbili ili uwapime ubadhirifu wao 3
@
@mrdullayo1651منذ 3 سنواتHongera Rais mwinyi jitahidi na majukumu yako mungu atakujaalia na sisi typo nyuma yako
@
@stonetown578منذ 3 سنواتAllah akulinde mh. Raisi lkn humo makazini wafanyakazi ni majeuri sana hasa zrb.
@
@mussajuma97منذ 3 سنواتWaonde hao wanatuchelewesha kwenda mbele kwenye uchumi wa kijani. 1
@
@ulipoulipotupo7564منذ 3 سنواتKama mageuzi ulito yafanya kuwa watu pemba na unguja tambua zambi za mþu muwaji ata akitubu aina toba asa kwa kuuwa kwa makusudi
@
@royaltourspemba7301منذ 3 سنواتMbona Pemba Rais haji aliahidi kila linalofanyika unguja na PEMBA lifanyike 5
@
@samirahassan3212منذ 3 سنواتnaww tushachoka na hadisi zako za sungura na ndizi fukuza smz imejaa majambazi ya pesa za uma
@
@blueeconomy7208منذ 3 سنواتHussen Mwinyi na Mfalme wa Zanzibar Insha'Allah
@
@samirahassan3212منذ 3 سنواتmm ni ccm ila natakakukubari maneno ya wapinzani' punda ndiowalewale wanabadilisha soji tu
@
@ismailjuma3692منذ 3 سنواتYaani iko hivi, maneno matam kama asali, vitendo vichungu kama shubili.
@
@faisalmohamed2746منذ 3 سنواتWatu kuweni na subra maneno machafu hayatasaida kitu ni kukupa dhambi tu muda bado hata mtoto miezi Minane ndio anatambaa hakuja Majibu kuleta maendeleo inahitaji tuwe na dhana nzuri kwa kiongozi
@
@alishiyaalitaqwa5248منذ 3 سنواتNajeuri muheshimiwa watumishi wana jeuri sana ukifuata huduma unaweza kukata tamaa kwa maneno yao machafu wanayo tujibu na zarau 1
@
@DrBasinda8منذ 3 سنواتRaisi anajitahid ila watu alowachagua kufanya nao kazi ndio wanamuangusha .sio wawajibikaji wala waadilifu mabadiliko hayawez kuletwa na mtu mmoja
@
@user-go3bk6wr8uمنذ 3 سنواتHana ishu wewe rahisi kama sheni ila wewe umejaliwa domo lako nyumba ya maneno tu. 2
@
@king-uw8juمنذ 3 سنواتHukuchaguliwa na wazanzibari umechaguliwa na ZEC 2
@
@muudathirsadru821منذ 3 سنواتNingemuimba mh Rais aregeze kdg hali imekuwa ngumu sana zanzibar vitu vinapanda bei kila kukicha BLUE ECONOMIC IT KILLS US
@
@patimabilali7820منذ 3 سنواتNgom imezid kuwa ngumu wanawake kma midume wanavyohaswa kazi tena za matofali n vibaruwa atar sox Union fek
@
@kreamagdfsa1697منذ 3 سنواتUkiona mtu haeleweki fukuza kazi maana hizo ni dharau kwa sababu wanajua majukumu yao pia wao sio watoto kama kila leo wapewe onyo inachosha kwa kweli 1
@
@jituakilimali15منذ 3 سنواتNdugu Raisi punguza ukubwa wa baraza la mawaziri huitaji mawaziri katika za raisi wala makamo wa raisi huko ni kutumia pesa zetu bila Ya muhimu wabaki waziri kila wizara
@
@dinnahwمنذ 3 سنواتRais wetu. Hebu fanya uende hospital ya Mnazimoja kwa wazazi hasa kisha uje twambia yaendayo. Pia watoto wa skuli ikiwa hawajui kusoma kiswahili wataendeleaje id="hidden5" class="buttons"> na masomo ya juu ambayo ni ya kiingereza? Wayajua kuwa kuna corruption ila hatuoni kinachofanika hivi tukamfufue Magufuli aje weka nchi sawa? ....وسعت
@
@gangmore9091منذ 3 سنواتMwizi hawezi kumlinda mwezake dhulma hailetii maendeleo munafanya dhulma kutoa roho z watu mutegeme kufanya maendeleo nyinyi bila kufanya haki kuingia id="hidden6" class="buttons"> kwenye madaraka maisha mutakua munakula jasho la watu tunataka mamlaka kamili ....وسعت
@
@fathiyasalim3946منذ 3 سنواتTatizo walio wengi hawajakuchagua kwa kura nyingi. Ni mapinduzi tu ndio yalokuweka. Mwinyi kuwa mkweli huoni taabu kusema umechaguliwa? 6
@
@salumnassor6555منذ 3 سنواتhawabadiliki hao mh Raisi Mazali hakuna hata mmoja waliochukuliwa hatua ya ubadhirifu Wa mali ya umma na wewe umesema hufukuwi makaburu , kwa iyo hawaogopi id="hidden7" class="buttons"> hao, kiufupi ebu wale wote waliosimamishwaa kazi kwa ubadhirifuu wa mabilioni ya fedha za umma ubu wawekwe kizuizini na wachukuliwe hatua ya kuhujumu uchumii na wapokonywe mali na kila kitu chao, utizame kama hawatobadilika watendaji ....وسعت
@
@rashidally1149منذ 3 سنواتNaona unawafuga tu hao mafisadi kila siku utachukua hatua sahv miezi 8 sijui hio hatua itachukuliwa lini wanafunzi wanakosa mikopo na wanaopata mkopo hela id="hidden8" class="buttons"> haitoshi wakt Kuna watu wanachota hela kwa matonge tu Imani yetu kwako mpaka uchukue hatua kwa vitendo nasio kwa maneno tu ....وسعت1
@dinnahwمنذ 3 سنواتRais wetu. Hebu fanya uende hospital ya Mnazimoja kwa wazazi hasa kisha uje twambia yaendayo. Pia watoto wa skuli ikiwa hawajui kusoma kiswahili wataendeleaje id="hidden13" class="buttons"> na masomo ya juu ambayo ni ya kiingereza? Wayajua kuwa kuna corruption ila hatuoni kinachofanika hivi tukamfufue Magufuli aje weka nchi sawa? ....وسعت
@
@gangmore9091منذ 3 سنواتMwizi hawezi kumlinda mwezake dhulma hailetii maendeleo munafanya dhulma kutoa roho z watu mutegeme kufanya maendeleo nyinyi bila kufanya haki kuingia id="hidden14" class="buttons"> kwenye madaraka maisha mutakua munakula jasho la watu tunataka mamlaka kamili ....وسعت
@
@salumnassor6555منذ 3 سنواتhawabadiliki hao mh Raisi Mazali hakuna hata mmoja waliochukuliwa hatua ya ubadhirifu Wa mali ya umma na wewe umesema hufukuwi makaburu , kwa iyo hawaogopi id="hidden15" class="buttons"> hao, kiufupi ebu wale wote waliosimamishwaa kazi kwa ubadhirifuu wa mabilioni ya fedha za umma ubu wawekwe kizuizini na wachukuliwe hatua ya kuhujumu uchumii na wapokonywe mali na kila kitu chao, utizame kama hawatobadilika watendaji ....وسعت
@
@rashidally1149منذ 3 سنواتNaona unawafuga tu hao mafisadi kila siku utachukua hatua sahv miezi 8 sijui hio hatua itachukuliwa lini wanafunzi wanakosa mikopo na wanaopata mkopo hela id="hidden16" class="buttons"> haitoshi wakt Kuna watu wanachota hela kwa matonge tu Imani yetu kwako mpaka uchukue hatua kwa vitendo nasio kwa maneno tu ....وسعت1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على DKT MWINYI NATOA ONYO LEO / HATUA KALI KUCHUKULIWA / KUNA WATU HAWAJABADILIKA:
Insha'Allah