Kupitia video hii unakwenda kujifunza kwa kina kuhusu tatizo la Presha na jinsi ya kujitibia tatizo hilo ukiwa nyumbani kwako.
..........................................................
Contact Us : +255676298270
-------------------------------------------------------------------------------
E-mail : toptenherbs@gmail.com
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram https://www.instagram.com/toptenherbs
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook https://web.facebook.com/toptentanzania
---------------------------------------------------------------------------------
Website https://www.topten.co.tz
-----------------------------------------------------------------------------------
@rosemarry1274منذ 2 سنواتHello Doctor, thanks for sharing wonderful recipe. Am praying for u
@
@CatherineKabelege-te3yoقبل 8 أشهرDocta mm nakupenda sana natamani kila siku niwe nakusikiliza
@
@maalimhussein8807منذ 4 سنواتAllah akufanyie wepesi katika kazi zako na akupe umri mrefu wa afya njema kabisa. Aaaamin 14
@
@fatmaissa8343منذ 4 سنواتNashuru sana kwa ushauri na tiba zako nzr. Mungu afya njema nguvu na akupe moyo wa upendo 6
@
@lucymkenda4022منذ 4 سنواتAsante sana kaka endelea kueleza somo zuri sana 3
@
@rizikinash8221منذ 4 سنواتAsante,kaka unaeleweka,elimuyako naikubali sana, ilinisaidia,mpaka sasa niko poa,umesaidia,wengi hatakama,hawasemi.asante.nilikuwa,natatizo,la magoti,nikakufuata,kwenye,somo,la id="hidden1" class="buttons"> magoto,nilipona,nikasahau,mpaka,sasa mimi ni mzima,kabisa. ....وسعت1
@
@chrispinamgala7816منذ 4 سنواتThank for your nice health education b blessed. 1
@
@aminahussein6303منذ 4 سنواتDr samahani mimi matiti yananiuma sana 5
@
@jonaskitiga9191منذ 4 سنواتNi nini chanzo mapigo ya moyo kwenda mbio? Nini matibabu yake 16
@
@laurentkabembo6942منذ 3 سنواتAsante Sana docta. Mungu pia Aku Bariki.
@
@kawtharalbarwani1337منذ 2 سنواتAsante doctor kwa mafundisho wakakat mungine tunaogopa tunaona ni ugonjwa
@
@emanuelnonko8980العام الماضيasante sana brother naamini kazi unayoifanya ni ya mungu amekutuma kuokoa jamii ilofungwa kwenye utumwa mbaya sana wa madawa ya kemikali yanayouhalibu id="hidden2" class="buttons"> mfumo na mwili wa mwanadamu huku tukiaminishwa kuwa ni salama tu kiasi kwamba tiba zenye thamani zinapuuziwa na watu wanaangamizwa kwa kuyakosa maarifa da!! imebali ni Mungu tu. ....وسعت
@
@marynjenga480منذ 3 سنواتThank you daktari. Please teach on how to treat ugonjwa wa kisukari naturally. Looking forward. Thanks. Napenda mafundisho yako. 1
@
@kuruthumushabani9535العام الماضيAsante San doctor Leo umenipa nguvu mpya
@
@timeomar4422العام الماضيAsante mkufunzi umenipa nguvu Allah akufanyie wepesi mambo yako
@
@mankasindato7896منذ 3 سنواتDuu. Asante Dr. Hii wengi tunaharibu hapoo. Ila ili la kulalahuwa na mimi malipendaga bila kujua kumbe nina pataga tiba.
@
@marrychelesi574منذ 2 سنواتAsante sana doctar naanza sasa hivi nitaleta mrejesho
@
@melinafesto5686منذ 4 سنواتhongera sana doctor nimekuelewa sana mungu akubariki sana 3
@
@vascobenedict488منذ 4 سنواتAsante sana doctor mamdogo wangu amesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na presha kwa miaka zaidi ya saba, baada ya kupata somo hili nikamwelekeza atumie id="hidden3" class="buttons"> hii mbegu ya parachichi, Sasa hivi ananiita doctor kwasabb amepona mpaka anajisikia raha ....وسعت10
@
@lacksonmwakanema6799منذ 3 سنواتAsante mtaalam, nimekuelewa Sana. Asante sana
@
@salomeomashibo1971منذ 3 سنواتhongera sana kuniondolea hofu barikiwa
@
@sadikielkombe9117منذ 3 سنواتAhsante Sana Kaka Rashid kwa elimu unayotoa
@
@amadirispa8382منذ 4 سنواتAsante sana muunguzi kwa mafuzo yako game nipa moyo sana ubarikiwe kwa wingi karibu
@
@naiisrael2953منذ 2 سنواتAsante sanaaa mno. Mungu akubariki sana
@
@hebronsdaughter1661منذ 3 سنواتDuh asante sana hakika umeokoa wengi barikiwa
@
@neemanavaranaa4672منذ 4 سنواتJe izi vidonge vya ferrous sulphate + folic acid table kwa mjamzito vinasaidia nn na vinamadhara gani please dr 2
@
@godwinmwasamila5337العام الماضيNjooni ni kweli maji siku tatu ni kiboko siku ya pili tu miujiza unatokea Imani bila matendo imekufa,,
@
@segolinetingo2916منذ 4 سنواتMi Dr Nina pressure ambayo juzi nimepima ipo 152 kwa 110.mwanzo ilikuwa mpk 280 6
@
@COMEDYMPYATVمنذ 2 سنواتHabari za saiz Doctor, Mbegu ya parachichi unaweka kiasigani kwenye uji na unachaganya kwenye uji wa ulezi au wa unga wa mahindi pia sukari unaweza ukaweka
@
@mickyomary5215منذ 4 سنواتAsant Dr hakika wewe nimkomboz wawatu mungu akubariki 2
@
@alisaid3251منذ 3 سنواتNapenda sana kuskia pressure, kisukari,ukimwi kua c ugonjwa. 1
@
@zulfahzubeir5310منذ 2 سنواتJaman mm presha yangu hailewek mara juu mara chini haielewek kabisa 1
@
@neemanyomeye3405منذ 3 سنواتAsante sana kwa kukutufanulia maana hata mimi nina tatizo hill
@
@ntakiruta4160منذ 4 سنواتAsante sana Doctor, kila kitu chote unakifahamu! Ongela sana
@
@annefidelis6931منذ 4 سنواتDr tunaomba utuambie nini tiba ya menopause? Lile jasho linatibiwa na nini lipungue ? 1
@
@janetndanu7077منذ 4 سنواتDoctor hio dawa ya kuweka kwa uji nitaweka kiasi gani?
@
@felisterlyanzile8037منذ 4 سنواتDoctor ubalikiwe sana maana naelimika mno
@
@franciskajessy4468منذ 2 سنواتWewe ni DR mzuri wengine wanaogopesha unaelezea vizuri 1
@
@careencharlescharles9749منذ 4 سنواتkweli kabisa hata mimi nilipata ya chini na mwili wangu mdogo sana nikapewa dawa za kuongeza damu uko sahihi
@
@naomijovin6960منذ 2 سنواتDoctar samahn me nina shida ya kushi2ka shituka hıı inasababisha na nini?
Nini matibabu yake 16