المدة الزمنية 2:8

Shamimu Mwasha na mumewe Abdul Nsembo wahukumiwa kifungo cha maisha JELA

بواسطة Simulizi Na Sauti
23 421 مشاهدة
0
265
تم نشره في 2021/03/31

MAHAKAMA Kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu blogger Shamimu Mwasha (41), na mume wake Abdul Issa Nsembo, (45) kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 138
  • @
    @maryamumapenzi1257منذ 3 سنوات Mungu wangu niepushe natamaa za duniani 1
  • @
    @mariamibrahim3162منذ 3 سنوات Niatari tams iyi mungu nisaidiy mm na mumewangu tukule bidogo tulale mapema
  • @
    @dorislema1814منذ 3 سنوات wamekosea sana tena sana kuaribu vijana wakitanzanai kuwafanya machiz lakin wasamehewe tu jaman nawaache iyo tabia
  • @
    @dorcaskidoti249منذ 3 سنوات Ngoja niendelee kuosha vyombo warabuni na kusugua masiki
  • @
    @KaskasTHEfinderCLIPمنذ 3 سنوات Why maisha. watu wanabadirika,si vzuri 4
  • @
    @ashminaabdullah7049منذ 3 سنوات Hivi kweli km kweli hili jambo alafu tunakuoneni na kukuiteni wanawake wa shoka inauma Allah akupeni subira na familia yote
  • @
    @florencebudoya3814منذ 3 سنوات Uhuru ni utajiri tosha. Tamaa ya kuitwa dons kumewaponza. 2
  • @
    @munirashughuli7224منذ 3 سنوات Iwe funzo kwa wengine wametuwaribia vijana wetu hawa wauzaji unga wallah 12
  • @
    @user-ot2io4cy6wمنذ 3 سنوات Masikini daaah.!!!‍♂️‍♂️‍♂️
    Inauma sana ila ndio sheria imeshaamua hivyo.
    2
  • @
    @kreamagdfsa1697منذ 3 سنوات Subhana allah tustiri waja wako tuache tamaa kama unawatoto ushawapa mtihan wallah 2
  • @
    @vanessalaizer4363منذ 3 سنوات Mamaa weeee sasa watoto wao vipi mwee that’s a tragedy hasa kwa uyo dada‍♀️‍♀️‍♀️ 5
  • @
    @anicyaedward5605منذ 3 سنوات ‍♂️‍♂️‍♂️bora niwe maskn mm daaa adhabu kwa watoto 10
  • @
    @khayriyamussa4323منذ 3 سنوات Wakamatwe wte wanaoleta na kuhisika nauwezekano wakudhibitika usiingie upo lkn kwanini ishindikane? Inamana Kuna watu wandani wanaohusika kuleta. Allah atulinde nahaya majanga.
  • @
    @happynelson5856منذ 3 سنوات H
    Nyie mnaosema wahurumiwe sababu wana watoto kwani wenyewe walikuwa hawajui kuwa wana watoto wakati wanafanya biashara hiyo ina maana mtataka id="hidden3" class="buttons"> kila mtu akikamatwa na madawa wenye watoto wahurumiwe sasa je wakihurumiwa si ndiyo watakuwa wengi sababu ya kuhurumiwa na wakiwa wengi si ndiyo taifa litazidi kupoteza vijana kwa madawa
    ....وسعت 4
  • @
    @mamaafricankenya2501منذ 3 سنوات Jamani wata zeeeka gerezani jesu‍♀️‍♀️ 5
  • @
    @ibrahimnadir4490منذ 3 سنوات Dah naskitika nachukia wauza unga lakin najiuliza vipi yule aloiba bilioni karibu 4 mbona hafungwi
  • @
    @michelinemapendo6652منذ 3 سنوات Angalikuwa ulaya wazungu wangelimunyanganya watoto milele polendugu 1
  • @
    @agnessmsacky6657منذ 3 سنوات Mahakama angalieni watoto Mali hizo wapeni watoto tambueni nanyie mnawatoto mungu halali leo kwahao watoto Mali mnazitaifisha kesho kwa watoto wenu mungu id="hidden4" class="buttons"> analiona hili wewe hakimu onyesha huruma kwa hizo Mali za watoto kwa urithi wa baba yao sisi binadamu tumeona lakini mungu anaona zaidi ....وسعت 1
  • @
    @chantalmulasi5663منذ 3 سنوات Apandacho mtu ndi cho ana cho kivuna pole sana
  • @
    @neemayatosha1618منذ 3 سنوات Jamani,jamani kama ni kufungwa maisha basi wakamatwe wote ni wengi mno. Sheria isiwe kwa baadhi ya watu,mtandao huo ni mkubwa mno.Dah!
    Shamimu id="hidden5" class="buttons"> laiti ungelijua ile harusi iliyotingisha mji ingeleta yote haya hata usingeitamani masikini, nimekuonea huruma,hasa watoto.
    ....وسعت 3
  • @
    @thiamdjamila9427منذ 3 سنوات Na wakome tama ya maisha imewaponza nyiye munasema maskini watoto wawo alafu mateja awana wazazi wa kuwaliliya ulicho panda ndicho utavuna machozi ya wazazi wamateja yamewaludiya mungu mukubwa nimefurai
  • @
    @deodadeo2016قبل 4 أشهر 40 ikikufkia hata ukikata rufaa kiuchumi utayumba tu, kwa kesi kama izi.
  • @
    @jumahaji2938منذ 3 سنوات Ni nzuri iyoo ukumu lakini wangeukumiwa kifo ingekuwa nzuri zaid upande wangu lakini ☝️
  • @
    @jsbddhnxjdhhdhd1493منذ 3 سنوات Acha niwe mfanya kazi wa ndani tu wa warabu kuriko utajilo huu 4
  • @
    @salmaathuman9156منذ 3 سنوات AISEE TUACHE TAMAA JAMAN TAFUTA KWA JASHO LAKO KULIKO UTAJILI WA HARAKA MATOKEA YAKO UNAZEKEA JELA NA KUACHA WATOTO WAKO WANAHAANGAIKA ACHA NIBAKI MASIKINI NIISHI KWA FURAHA NA PIA MAMBO YA KUMPENDEZA MUNGU 2
  • @
    @KaskasTHEfinderCLIPمنذ 3 سنوات Hakimu hta roho ya uhuruma auna kweli,duu muogope ALLAH,kesho tuna hukumiwa wote kaburini 3
  • @
    @theceefamily7764منذ 3 سنوات Poleni sana hata pia kwa watoto wao,marafiki na familia kwa jumla 1
  • @
    @kreamagdfsa1697منذ 3 سنوات Kwa kweli biashara nyengine wala sio za kufanya malipo hapa duniani munateketeza taifa hasa vijana kwa maslahi yenu binafsi vijana wanazungumza kama bun'go id="hidden8" class="buttons"> utawasikia mke wa kihindi ananywele mpaka mgongoni siwez kumuacha mtihan kwa kweli ....وسعت 2
  • @
    @zmaal7702منذ 3 سنوات Watoto watapata wasamaria wema wa kuwalea kuliko kulelewa na wazazi km hawa.kwn ni adui wa taifa la kesho
  • @
    @othmanjuma9611منذ 3 سنوات Tatizo kutaka maisha ya haraka hyo ndio faida yake
  • @
    @anahna6788منذ 3 سنوات Dada mzuri Lakini ANAPENDA dhambi
    Kuna dhambi unaweza kujikwaa ukafanya Lakini siyo za kuuza madawa ya kulevya kuuwa kuiba kuingiliana kinyume id="hidden9" class="buttons"> na maumbile
    Kudhurumu
    Na nyingine nyingi
    Ukizifanya hizo ujue tu wewe unahatalisha maisha yako kama siyo kuyaharibu kabisa
    ....وسعت 2
  • @
    @RandB_Channelمنذ 3 سنوات Jamani si wangewahumiya??? Yooooo huruma miye Jamani wana watoto wadogo
  • @
    @adelinalubeleje4110منذ 3 سنوات Sasa mali zikitaifishwa watoto watasomaje
  • @
    @kreamagdfsa1697منذ 3 سنوات Na huna hata cha kuwaachia watoto mali zote ndio za serekali sasa kuna faida gani hapo 2
  • @
    @zabibunduwimana4612منذ 3 سنوات Esma asingemuhacha musizwa yangemukuta
  • @
    @ivaniavianarodrigo7201منذ 3 سنوات hiki kifungo kina visasi ndani yake, sio haki gramu 200, ndo kumuhukumu maisha??. 2
  • @
    @adolphmwangoje2887منذ 3 سنوات kesi hizo co kifungo Cha maisha kunakingine chini ya kapeti jmn co bure vijna wanakuLa ngada huko kijinga kwa Nini wasikamatwe mateja wote msiwape unga cku tano uone kma hawatataja wanakotoa nakuludi haliyao
  • @
    @jimboulayaمنذ 3 سنوات Gram 232 wanafungwa maisha na kutaifishwa? Na vipi watoto wao? Hii hukumu ni kama kukomoa, hailingani na kosa na haijaangalia maslahi ya watoto, huyo jaji id="hidden11" class="buttons"> nina mashaka nae, wapo watu wameihujumu nchi kwa mabilioni hawakupewa adhabu kama hii. Kuna kitu nyuma ya hii kesi sio bure. ....وسعت
  • @
    @aliaalooya3896منذ 3 سنوات Jmn sibora wangechukua azo mali kuliko kifungo chamaisha 1
  • @
    @ashuraussein7582منذ 3 سنوات Jamani wapunguze ukumu akuna binadamu alio kamilika pumbavu zenuwatoto watalelewaje 2
  • @
    @zaitunisinamenye1799منذ 3 سنوات Basi wafungwe maisha wengi tu, serkal haiwazi watoto?mwanamke aaciwe hana kosa lolote akaleye watoto