Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud , amesema tume za uchaguzi zimekuwa zikitumika kutakatisha madaraka yanayopatikana kwa njia haramu jambo ambalo ni kinyume na makusudi ya kuanzishwa kwa taasisi hizo. Hayo ameyasema leo katika mkutano wa uzinduzi wa ilani ya chama cha ACT Wazalendo kwa Zanzibar.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 150
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Tume za uchaguzi hutumika kutakatisha madaraka haramu - Othman Masoud: