المدة الزمنية 41:43

LIVE: SERIKALI YATOA MASHARTI kwa MICHEZO MASHABIKI Kupimwa kabla ya kuingia UWANJANI

بواسطة Global TV Online
7 396 مشاهدة
0
34
تم نشره في 2020/05/31

🔴#LIVE: SERIKALI YATOA MASHARTI kwa MICHEZO "MASHABIKI Kupimwa kabla ya kuingia UWANJANI! Dk. Hassan Abbas, msemaji mkuu wa serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari na Michezo, ametangazwa kwamba serikali imeandaa mwongozo maalum wa jinsi michezo mbalimbali nchini itakavyoendelea kuanzia kesho, na kwamba atakayekiuka mwongozo huo atachukuliwa hatua kali. Dk Abbas amesema serikali imeazimia kwamba mechi zote nchini zitachezwa kama zilivyokuwa zinachezwa kabla ya janga la Corona kuingia, kwa maana ya mechi ya nyumbani na ugenini na kwamba hakutakuwa na utaratibu wa vituo. Pia amesema mashabiki watakaotaka, wanaruhusiwa kushiriki bila kikwazo chochote lakini akaeleza kwamba lazima kuwe na tahadhari, mashabiki wakae umbali wa mita mojamoja, viwanja vitawekwa sanitizers na maji tiririka, na kila shabiki avae barakoa. Amesema mwongozo huo umeandaliwa kumgusa kila mdau wa michezo, kuanzia wachezaji, makocha, madaktari wa timu na mashabiki na kwamba umeandaliwa na Wizara ya Habari na Michezo pamoja na Wizara ya Afya. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo ... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 12