المدة الزمنية 3:22

BREAKING NEWS: MECHI YA KAGERA NA SIMBA YAAHIRISHWA/SABABU HIZI HAPA MSIKIE KAMISAA WA MECHI HAPA

بواسطة Mpenja TV
60 320 مشاهدة
0
271
تم نشره في 2021/12/18

Mpenja Tv imefanya mahojiano na Kamisaa wa Mchezo wa Kagera Sugar Vs Simba Ndugu Nasib Mabrouk kuhusu sababu za mechi hiyo kuahirishwa. . Fungua video hii kupata habari kamili. . #simbasc #kagerasugar #mpenjatv #nbcpremierleague

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 101
  • @
    @queenmwasanguti2370منذ 3 سنوات Poleni sana watani wetu, Mungu awarudishie Afya mapema, 7
  • @
    @leonardkayolo7314منذ 3 سنوات Poleni sana wachezaji wetu wa Msimbazi. Mungu awajalie mpone soon. 2
  • @
    @queenmwasanguti2370منذ 3 سنوات Weekend imepoa sana,, Afya njema tunawatakia 3
  • @
    @lwagamwakalinga8038منذ 3 سنوات Mi si shabiki wa Simba lakini inpokuja suala la afya za watu ni vema tuwaombee kupona haraka. Namuomba Mungu wa mbinguni awaponye haraka watani zetu Simba. 9
  • @
    @bettyzakayoukosaf8036منذ 3 سنوات Je nini maana ya kusajili makoro wameogopa Morrison bwalia kukosatu 1
  • @
    @staralive9260منذ 3 سنوات Hakuna aja ya kutuambia kuwa Tanzanll00
  • @
    @paulm.9791منذ 3 سنوات Mnasema wamekimbia na Kama ni kweli wanaumwa wapo serious ikitokea Yamatokea yakutokea mtasema nini. Ndugu msicheze na maisha ya watu , ni binadamu na id="hidden2" class="buttons"> wana familia Kama wewe , mafua yanaambukiza , mmoja akiugua nyumbani nyumba yote wanaumwa , so mnashangaa nini ? Haijawaji kukutokea? Hao Jamaa wapo kambini inawezekana sana mmoja kaambukiza wote … Coz wana share almost kila kitu … Mungu awaponye ....وسعت 6
  • @
    @xhinjikagawa5102منذ 3 سنوات Wasipowalipa kazeni maana kama ni droo muliipata
  • @
    @deusdeditknkunga6047منذ 3 سنوات So, why on earth did Simba travel to. Kagera?
  • @
    @keffajacob8952منذ 3 سنوات wapeni piliton.muwalete uwanjani bado wanyongenyonge tuwanyooshe.hapo ndipo pakuwa kamatia hao wagumu!
  • @
    @meshajoni5662منذ 3 سنوات Ingekuwa no yanga wenzetu mngetutukana sanaa,,ilakwakua,ninyie,sisi,tunawaombea,mpone ,
  • @
    @nasskidy8196منذ 3 سنوات sasa kama yote yalikamilika si waje uwanjani
  • @
    @lusajomwankusye602منذ 3 سنوات Walipeni wachezaji ahadi mliyo wahidi siku ya tar.11 ya watani wa jadi na malimbikizo yao 1
  • @
    @asnatlayson3081منذ 3 سنوات Achen ujanja nyie sema mwamsubilia yanga matokeo yake kesho kwani s wamechanjwa chanjo kwaiyo haisaidii kitu 2
  • @
    @bonifacefilbert7324منذ 3 سنوات kwani vilabu vina jumla ya wachezaji wangapi kinachopelekewa ulazima kuhailisha mchezo
  • @
    @asnatlayson3081منذ 3 سنوات Hakuna mgonjwa hapo sema tu mwataka mjue matokeo ya yanga hapo kesho ila hamna lolote nyie kwaiyo chanjo haisaidii kitu sasa chanjo niyann sasa
  • @
    @nurdinmfamau3493منذ 3 سنوات Simba Inakikosi Cha Wachezaji Zaidi Ya 25 Au 32 Kwasababu Hizo Hazina Mashiko Wala Hoja Yakuhairisha Mechi. Wachezaji Wengine Wacheze. Wogan Tu. Au Ndio Mmeanza Kuupiga Mwingi. 1
  • @
    @kelvinmapunda2589منذ 3 سنوات Tunaomba na yanga nayo ihairishe kama ni season influenza bhc ligi zima isimame
  • @
    @mariasalumu474منذ 3 سنوات Sasa kwann musingetoa taarifa mapema jamani kusumbua mashabiki bure
  • @
    @zuberikupaza1184منذ 3 سنوات Hapo mgonjwa ni morrison na inonga ikabidi wasingizie timu nzima!!!
  • @
    @robertphilip385منذ 3 سنوات Waongo walichungulia kwenye kibuyu wakaonawatafungwa nyingi
  • @
    @leemabibaphotography8053منذ 3 سنوات Uongo mafuwa gani si museme ukweli janja tuuuuh 1
  • @
    @innobugobola1694منذ 3 سنوات Uoga tu ingekuwa ndo kagera Simba ingepewa point na kagera wangepigwa Faini.Mambo ya Ovyo KABSA.
  • @
    @frankmayombya5625منذ 3 سنوات Wachezaji wanadai posho na ahadi walizohaidiwa katik mchez wa Darby walipeni watapat nafuu.
  • @
    @issasaedy7879منذ 3 سنوات Wamekimbia Kama kawaidayao tunawajua ilamwisho watakujatuu watanaswatu HIYONI janjaya tff watakujatuu 1
  • @
    @habibrwegoshora6624منذ 3 سنوات HUU NI UHUNI TU KAGERA WAPEWE POINT ZAO 3 . HII MALA PILI SASA TOKA LIGI IANZE
  • @
    @ibrahimmtoni7570منذ 3 سنوات Simba ndo tabia yao wakiona ugumu kdg wanakimbia wanawaogopa hd kagera
  • @
    @vailethkayombo19منذ 3 سنوات Wajinga sana hao simba wanaofia muchuano huo ndooe maana wameugua gafla
  • @
    @islafilnassibu1814منذ 3 سنوات Wamechoka Wana ogopa ndany yapich wanaeza wakapoteza mchezo wanataka wapumzike kwanza
  • @
    @paulm.9791منذ 3 سنوات Mnasema wamekimbia na Kama ni kweli wanaumwa wapo serious ikitokea Yamatokea yakutokea mtasema nini. Ndugu msicheze na maisha ya watu , ni binadamu na id="hidden5" class="buttons"> wana familia Kama wewe , mafua yanaambukiza , mmoja akiugua nyumbani nyumba yote wanaumwa , so mnashangaa nini ? Haijawaji kukutokea? Hao Jamaa wapo kambini inawezekana sana mmoja kaambukiza wote … Coz wana share almost kila kitu … Mungu awaponye ....وسعت 6