المدة الزمنية 14:44

AZAM 0-3 YANGA | Jikumbushe Yanga walivyoichapa Azam 3-0; Ngao ya Jamii

بواسطة Azam TV
434 652 مشاهدة
0
964
تم نشره في 2020/05/10

Kuna siku Azam FC walikula 3-0 kutoka kwa Yanga iliyokamilika. Ilikuwa ni ile Yanga ya Wabrazil chini ya Kocha Marcio Maximo, Yanga ya Mrisho Ngasa na Juma Abdul wa moto. . Ilikuwa ni Yanga ya Mbuyu Twite bingwa wa kurusha mipira, ilikuwa ni Yanga yenye ‘reserve’ wenye uwezo sawa na ‘first eleven’. . Azam nao hawakuwa wa kawaida, walikuwemo ma-pro kibao akiwemo Kipre Tchetche, Leonel, Kavumbagu, Diara na wengine. Enzi hizo Gadiel Michael ndiyo alikuwa anaanza kuingizwa kwenye kikosi cha wakubwa, na kwenye mechi hii aliingia kuchukua nafasi ya Erasto Nyoni aliyekuwa akicheza nafasi ya beki wa pembeni. . Kwenye mechi hii wakati wa mapumziko, Mrisho Ngasa na Abubakar Salum #Sureboy walibadilishana jezi. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 67